Amos 5:6

6 aMtafuteni Bwana mpate kuishi,
au atafagia nyumba ya Yosefu kama moto;
utawateketeza, nayo Betheli
haitakuwa na yeyote wa kuuzima.
Copyright information for SwhNEN